whip

whip

1 n kiboko, mjeledi. have the ~ hand (over sb) tawala, dhibiti,-wa na madaraka juu ya mtu. whipcord n kigwe cha nguvu; nguo ngumu kuchanika. 2 (also ~per in) msimamizi wa mbwa (katika kuwinda). 3 mratibu wa chama cha siasa au shughuli za bunge (anayehakikisha wanachama wanahudhuria na kupiga kura bungeni); amri ya kuhudhuria na kupiga kura. a three line ~ n amri kali ya (kuhudhuria na kupiga kura) kikao cha bunge. 4 kupigapiga mayai, malai n.k.; mpigaji mijeledi.

whip

2 vt,vi 1 chapa, piga (mjeledi). 2 a sth (ups)(into sth) piga, pigapiga, koroga. 3 (colloq) shinda sana, chapa. 4 chukua, chukulia; -ondoka, -ondoshwa, toa, toka (kwa haraka). 5 (GB colloq) iba. ~ round for money etc changisha fedha kwa marafiki au wanachama (ili kununua zawadi). ~ round n mchango huo. 6 shona pindo. whipping kuchapa kiboko/fimbo. ~ping -boy n (hist) mtwana: kijana anayesoma na mtoto wa mfalme na kuadhibiwa badala yake; (scapegoat) msingiziwa. ~ping -post n (hist) nguzo walipofungwa watu na kuchapwa viboko. ~ping-top n see top. whipper-snapper n mtu/kijana anayejidai/jikweza sana (pasipo kustahili).