top

top

1 n pia. sleep like a ~ lala kama pono, lala fofofo.

top

2 n 1 (usu the ~ (of) kilele; upeo; sehemu ya juu. on ~ juu. on (the) ~ of juu ya; zaidi ya hayo. ~ to bottom kabisa; juu mpaka chini. blow one's ~ (colloq) hamaki. 2 sehemu ya juu ya kitu/upande wa juu. bottle ~ n kizibo, kifuniko. go over the ~ (mil) toka handakini na kumshambulia adui; (fig) tenda mara moja baada ya kusitasita. on ~ of the world (colloq) -enye furaha kupita kiasi. 3 (nafasi ya) juu/mbele. come to the ~ (fig) pata/heshima/ mafanikio. reach/be at the ~ of the ladder fikia/-wa katika ngazi ya juu. 4 kipeo, kikomo. 5 (motoring) in ~ gear katika gia ya juu. 6 majani (ya mmea ambao huliwa mizizi yake); kisamvu. 7 the big ~ hema kubwa la sarakasi. 8 (compounds and attrib) top-boot n buti refu (la magotini). ~ coat n koti. ~ dog n (sl) mshindi. ~ drawer n tabaka la juu (katika jamii). top-dress vt sambaza/tandaza mbolea ardhini. top-dressing n kutandaza chokaa katika shamba. ~-flight/~notch adj attrib (colloq) bora, -a daraja la juu. ~-gallant adj,n tanga la tatu. ~hat (also ~ per) n kofia refu ya hariri. top-heavy adj -liozidi uzito kwa juu. ~-hole adj (dated sl) zuri/safi sana. topknot n shungi. ~ mast n cheleko, mstamu. topmost adj -a juu kupita zote. ~ people n watu wenye madaraka ya juu. top-ranking adj -a daraja la juu. ~ sail n tanga la miaa. ~ secret n siri kuu/kubwa. topless adj (of a woman's dress) -a kifua wazi; -a matiti nje. vt 1 funika, weka sehemu ya juu. 2 fikia kilele; -wa kileleni, wa juu. 3 ~ (something) up jazia, ongeza nguvu. ~ (something) out zindua jengo refu kwa sherehe. 4 vuka, zidi, tendesa, tia fora. to ~ it all juu ya yote; kana kwamba hayo yote hayatoshi. 5 kata ncha; chuma majani (ya mimea ya mizizi). topping adj (colloq) zuri sana, -a kupendeza sana. toppingly adv. tops n (pl) (usu the ~s) (colloq) nzuri kupita - ote, bora kabisa.