thrash

vt,vi 1 piga (kwa mjeledi/ fimbo), charaza he ~ed her with a whip alimcharaza kwa mjeledi. 2 (colloq) (in competition) (beat) shinda. 3 ~ something out (colloq) tatua tatizo kwa majadiliano; fikia maamuzi/ukweli kwa majadiliano. 4 shikashika, tikisa, tosa, tupatupa. 5 see thresh. thrashing n 1 kupura; kupiga. 2 (defeat) ushinde give somebody a ~ing shinda mtu.