phone
phone
1 n (ling) foni. phonics n foniki: elimu ya kutumia sauti kufundishia kusoma. phonetic adj -a jinsi yakutamka, -a fonetiki phonetic transcription unukuzi kifonetiki, unukuzi finyu. phonetician n mwanafonetiki. phonetics n fonetiki: elimu ya sauti za usemi. phonic adj 1 -a sauti; -a fonetiki. phonograph n gramafoni, santuri.phone
2 n (sl) see telephone. simu be on the ~ zungumza kwa simu get somebody on the ~ pigia mtu simu hang up the ~ rudisha chombo cha simu; kata simu. vt,vi piga simu.