telephone
n simu (ya mdomo). ~ booth n kibanda cha simu. ~ directory n anuani/orodha za simu, kitabu cha simu. ~ exchange n maungio ya simu. vt, vi. piga simu. telephony n telefonia: njia/taratibu za kupeleka na kupokea simu. telephonic adj -a simu. telephonist n opereta, mpiga/mhudumu wa simu.