person
n 1 mtu; mwenyewe. in person kwa nafsi yake, mwenyewe he was present in person alihudhuria yeye mwenyewe. in the person of ambaye ni. person to person call (of telephone) mwito binafsi. 2 mwili, kiwiliwili; maisha.3 (gram) nafsi. persona n (psych) hulka bayana. persona grata n (Lat) mtu anayekubaliwa nchini. persona non grata n mtu asiyekubalika nchini. personable adj -enye sura nzuri; maridhia. personage n 1 mtu (mashuhuri). 2 mhusika katika michezo (ya kuigiza). personal adj 1 -a mtu binafsi. 2 -enyewe make a personal appearance fika mwenyewe. personal assistant msaidizi mahususi. 3 -a mwili personal cleanliness usafi wa mwili. 4 -a kushambulia mtu binafsi,-a kukashifu, -a kusuta, safihi. 5 personal property/estate n (leg) mali binafsi inayohamishika. 6 (gram) personal pronoun kiwakilishi nafsi. n makala fupi kuhusu mtu binafsi. personally adv 1 kwa nafsi ya mtu, kwa mtu binafsi. personality n 1 nafsi (ya mtu). personality cult n kuabudu mtu (agh. kiongozi wa siasa n.k.); nafsi. 2 haiba; tabia, hulka. 3 masuto (pl) personalities maneno mabaya kuhusu mtu indulge in personalities toa maneno mabaya kuhusu mtu. 4 mtu mashuhuri. personalize vt 1 tia alama binafsi. 2 -pa kitu nafsi. 3 fanya chako. personalty n (leg) mali binafsi. personate vt 1 igiza. 2 see impersonate/impersonation n. personify vt 1 -pa nafsi. 2 (embody) -wa mfano wa. personification n tashihisi. the personification of mfano halisi wa sifa ya. personnel n watumishi; utumishi. personnel manager n meneja utumishi. airline personnel n watumishi wa shirika la ndege. perspective n 1 taswira (kuandika picha kwa jinsi ya kulinganisha ukubwa, kimo urefu, upana n.k. kama vitu vionekanavyo kwa macho). in person kwa mlingano, kionekanavyo. out of person bila maono halisi. 2 uhusiano. in the/its right/wrong person kwa/bila uhusiano sahihi/halisi. 3 (lit,fig) mtazamo; maono, wazo; matumaini.