1adj 1 -refu. 2 (in phrases) kubwa; -enye uwezo. have a ~ arm onyesha madaraka. the ~ arm of the law uwezo mkubwa wa sheria. make a ~arm for something nyosha mkono (kuchukua). 3 -a muda mrefu, -a kukaa. ~ time no see (colloq as greetings) habari za siku nyingi/masiku. 4 (in phrases concerned with extent in time)~ long bondn (fin) mkataba wa miaka ishirini au zaidi. take a ~ cool/hard look at something fikiria kwa makini, fikiria kwa mapana na marefu. take the ~ view angalia mbali. in the ~ term kwa kuangalia mbali. ~ termattribadj -a muda mrefu. 5 (compounds). ~ boatn mashua kubwa kuliko zote melini. longbown upinde mrefu. draw the ~bow tia chumvi, piga chuku. ~ distanceattribadj -a masafa marefu a ~-distance runner (athletics) mkimbiaji wa masafa marefu. ~ drinkn kinywaji kinachoandaliwa kwenye bilauri kubwa k.m. bia. a ~ dozenn kumi na tatu. longhandn mwandiko wa mkono (ukilinganisha na hati mkato). long-hairedadj -enye nywele ndefu; (fig) -somi; -a sanaa; si -a kawaida. ~ headedadj -janja, erevu; -enye kuona mbali (kwa mawazo). the ~ jumpn (athletics) kuruka chini. ~ metren ubeti wenye mistari minne yenye silabi nane. ~ oddsnpl (in betting) -siowiana kabisa, -a kupishana sana. ~ play(ing) disc/recordn(abbr LP) sahani ya santuri ndefu. ~rangeattribadj -a muda mrefu/masafa marefu. ~ shore-mann kuli. ~ sightedadj -a kuona mbali; -enye kufikiri mbele. ~ timeattribadj -a muda mrefu. ~ tonn ratili 2240. ~ waven mawimbi ya masafa marefu. long-windedadj -refu na -a kuchosha (katika mazungumzo/maandishi), -enye maneno mengi. n 1 muda mrefu, kipindi kirefu the experiments will take ~ majaribio yatachukua muda mrefu. at the ~est sanasana; muda mrefu kabisa I can wait three days at the ~est siwezi kungoja zaidi ya siku tatu. the ~ and the short of it hali ya jumla; yote yanayohitajiwa kusemwa. 2 (esp inLatin) silabi ndefu adv 1 (for) ~ (kwa) muda mrefu. as/so ~ as (conditional) mradi you may lend me some money as ~ as you do not attach strings to it unaweza kunikopesha pesa mradi huweki masharti yoyote. 2 (in numerous compounds) ~-drawn outadj -liorefushwa (bila sababu). ~livedadj -lioishi sana, -enye maisha marefu. longstandingadj -liodumu muda mrefu, -a muda mrefu (bila kutimizwa). long-sufferingadj -stahamilivu. 3 muda mrefu, zamani. ~ ago zamani sana ~ after her wedding muda mrefu baada ya ndoa yake. 4 (with n indicating duration) -zima, -ote all day ~ siku nzima; mchana kutwa all my life ~ maisha yangu yote. 5 no/any/much ~er zaidi (ya muda fulani), tena I cannot wait any ~er siwezi kungoja zaidi she is no ~er working here hafanyi kazi hapa tena hivi sasa. longevityn maisha marefu. longituden longitudo. longitudinaladj 1 -a longitudo. 2 -a kukata kwa urefu. longways; longwiseadvseelengthways.
long
2vi~ for something/for somebody to do something tamani sana. longingn hamu, shauku adj -enye (kuonyesha) hamu/shauku the children are ~ing for a break watoto wanatamani sana kupumzika. ~ing eyesn macho yaonyeshayo hamu/shauku (hasa ya mapenzi). longinglyadv.