horn

n 1 pembe (ya mnyama). 2 kitu/ chombo cha pembe a ~ handle spoon kijiko cha pembe. ~ rimmed adj (of spectacles) -enye fremu ya pembe. a ~ of plenty see cornucopia. 3 (mus) baragumu, siwa, mbiu, gunda. 4 honi a motor ~ honi ya motakaa. 5 kitu kama pembe (k.m. kichwani mwa konokono). draw in one's ~s tulia; jivuta; jirudi. 6 pembe za mwezi mchanga. on the ~s of a dilemma kabiliwa na uchaguzi mgumu (kati ya vitu viwili visivyopendeza), -tokuwa na uchaguzi wa haja. 7 (compounds) ~ bill n hondohondo ~ blower mpiga baragumu/gunda/siwa. hornpipe n dansi la baharia (la mtu mmoja). vi (sl, only in) ~ in (on) ingia bila kukaribishwa, dukiza, vamia. horned adj -enye pembe. a ~ed goat n mbuzi mwenye pembe. hornless adj -sio na pembe. hornlike adj -a kama pembe. horny adj -a pembe; gumu kama pembe, sugu; (sl) -liojaa nyege, mshongo.