cornucopia

n 1 (myth) pembe itoayo chakula na vinywaji bila kikomo. 2 alama (ya pembe hii) inayoonyesha wingi wa neema.