n 1 nyumbani, makazi, maskani. at ~ nyumbani; (football, etc) uwanja wa nyumbani. the ~ teamn timu ya wenyeji/nyumbani; (of invitation) -wa nyumbani (kupokea wageni). at ~n tafrija ya nyumbani (ambayo wageni wanatarajiwa kufika wakati maalum). not at ~ (to) -tokaribisha/-topokea wageni. make oneself/be/ feel/ at~ starehe, ondosha ugeni; jisikia nyumbani. at ~ in zoea. be ~ and dry (colloq) fanikiwa. a ~ from ~ mahali mtu anapojisikia yu mwenyeji. nothing to write ~ about (colloq) hakuna cha ajabu/maana. 2 kituo cha wasiojiweza. 3 (often attrib) maisha ya kifamilia. ~ economicsn sayansi kimu. ~ helpn (GB) mtu aliyeajiriwa kusaidia wasiojiweza. 4 (seehabitat) maskani, makazi asilia. 5 (in sport and in various games) golini; kituoni. (baseball) the ~ platen kituo cha nyumbani. ~ run mzunguko wa mpigo mmoja. the ~ straight/stretchn mwisho wa mbio fulani. 6 (attrib) one's ~ town makazi ya kudumu. Ministry for H ~ Affairsn wizara ya mambo ya ndani. 7 (compounds) home-bakedadj -liopikwa/ -liotenge nezwa nyumbani. ~ brewedadj pombe iliyotengenezwa nyumbani/ya kienyeji. homecomingn kurudi nyumbani. ~curedadj (of food esp bacon) -liokaushwa nyumbani. the ~ frontn raia (wakati wa vita). homegrownadj (of food) -liopandwa/-liozalishwa nchini. ~ guardn mwanamgambo wa Uingereza (1940-57). homelandn nchi ya asili. ~ madeadj (of bread, cakes, etc.) -liotengenezwa nyumbani. ~ Rulen utawala wa wananchi wenyewe. homesickadj -a kutamani/kukumbuka nyumbani. homespunadj nguo iliyofumwa kwa mkono; -a nyumbani. homesteadn nyumba iliyozungukwa na shamba; (US) shamba lililotolewa na serikali kwa kuishi na kulima. ~ thrustn shambulio (kwa silaha au maneno) la nguvu. ~truthn ukweli unaouma. homeworkn kazi ya nyumbani, zoezi (kwa mwanafunzi) la kufanyiwa nyumbani; (colloq) matayarisho (ya majadiliano, kuandika ripoti n.k.). ~ lessadj -sio na makazi like ~ -a kama nyumbani. homewardadj -a kuelekea nyumbani. ~ward(s)adv kwa kuelekea nyumbani adv 1 nyumbani, nchini. 2 hasa, barabara. bring something/come ~ to somebody fahamisha barabara. drive a point/an argument ~ eleza barabara. homelyadj 1 -a kawaida a ~ meal mlo wa kawaida. 2 -a kama nyumbani, -a kukumbusha mtu nyumbani kwao. homelinessn (US) (also of people, their features) -siovutia. homey (alsohomy) adj (US colloq) -a kama nyumbani. homingadj (of pigeons) -enye silika ya kurudi nyumbani; (of torpedoes, missiles) -enye uwezo wa kufikia shabaha iliyolengwa.