habit

n 1 mwenendo, tabia. be in/fall into/get into the ~ of -wa na tabia ya. get somebody into the ~ of zoesha mtu tabia ya. fall/get out of the ~ of acha tabia ya. make a ~ of something zoea kufanya. 2 mazoea, desturi. creature of ~ mtu wa mazoea. do something out of~/from force of ~ fanya jambo kwa sababu ya mazoea/desturi. 3 (old use) hali (ya akili au mwili). 4 vazi la kitawa. riding ~ n vazi la mpanda farasi (koti na sketi). habitual adj 1 -a mazoea, -a desturi, -a kawaida. 2 -zoefu, -liokubuhu ~ ual thief mwizi mzoefu. habitually adv.habituate vt. ~uate somebody/ oneself to something (ji) zoeza. habitude n (formal) desturi, mazoea. habitue n mtu aliyezoea kwenda mahala fulani a ~ of Cosy Cafe mtu aliyezoea kwenda Cosy Cafe. habitable adj -a kukalika (na watu). habitat n (of plants, animals) mazingira, makazi ya asili; nyumbani. habitation n 1 kukaa, kuishi houses fit for ~ation nyumba zinazofaa kukaliwa. 2 (liter) makazi; nyumba.