1vt chovya/paka dhahabu. ~ the lily haribu uzuri wa kitu kwa kukipamba sana. ~ the pill pendezesha kitu kinachochukiza. ~ed youthn kijana maridadi na tajiri. gildern. gildingn. giltn mpako wa dhahabu. take the gilt off the ginger bread ondoa uzuri wa kitu. gilt-edged stocks/securitiesn vitegauchumi madhubuti.