guild

n chama, ushirika (wa watu wenye matakwa au shughuli za namna moja). ~ socialism n mfumo wa kuongoza kiwanda kwa baraza la wanachama.