gentleman

n 1 muungwana, bwana, mwanaume. ~'s agreement n kuaminiana; mapatano ya kiungwana. 2 (hist) mtu wa daraja kubwa. ~ at arms mlinzi wa mfalme. 3 (hist) mtu aliyeruhusiwa kuwa na silaha ingawa si wa daraja kubwa. 4 (dated use) mwinyi. 5 (pl) njia ya heshima ya kuwaita wanaume waliohudhuria Ladies and G~ Mabibi na Mabwana. 6 njia ya kuanza barua rasmi. gentlemanly adj -a kiungwana. gentlewoman n (pl gentlewomen) see lady.