n 1 bibiye, mke wa lodi. 2 bibi. ~ in-waitingn bibi mpambe. ~ of the house mama mwenye nyumba. 3 mwanamke yeyote; (pl) mabibi. Ladies and Gentlemen mabibi na mabwana. 4 mke your ~/wife mke wako 5 Ladies (used as sing n) choo cha wanawake. 6 (attrib) -a kike a ~ doctor daktari wa kike. 7 (compounds) (rel) Our L~n Bikira Maria L~ Dayn (rel) sikukuu ya kupashwa habari ya kuzaliwa bwana (tarehe 25 Machi). lady-killern (slang) mtekaji wanawake. lady-loven mchumba/mpenzi (mwanamke). ~'s maidn mtumishi wa bibi. ladies' mann mwanaume anayependa wanawake. ~ likeadj -a adabu, -a malezi mazuri.