draught

(US draft) n 1 (current of air) upepo, hewa ipitayo katika chumba. 2 mvuo wa samaki kwa wavu. 3 kina cha maji chenye kuwezesha meli ielee. 4 mnywo, funda, mvuto, mfyonzo; kuvuta/kunyonya uowevu kutoka katika chombo (mf. pipa). ~ beer bia ya kasiki. 5 funda a ~ of water funda la maji. 6 (pl) (US) drafti. vt see draft. ~ horse n farasi avutaye mizigo mizito. feel the ~ (sl) -ishiwa; sikia upepo. ~-board n ubao wa drafti. draughtsman n mrasimu, msawidi. draughtsmanship n urasimu.