draft

draft

1 n 1 kundi dogo la askari (lililotolewa katika kundi kubwa kwa kazi maalumu). 2 (US) kikundi cha watu wanaoitwa jeshini; kuitwa jeshini. ~ card n barua ya kuitwa jeshini. 3 (sketch, design) kielezo, kielelezo, rasimu, ramani; mfano (wa kazi). 4 mswada jaribio la kwanza, mchoro wa kwanza; mwandiko wa upesi (wa kujaribia, wa kufikiria) wa hati. draftsman n see draughtsman (leg) msawidi. 5 hati ya malipo itolewayo na benki; ulipwaji wa fedha kwa kutumia hati hiyo. vt 1 (select, separate) tenga (chagua) kundi dogo (katika kundi kubwa la askari); ita jeshini. 2 (design) andika (piga) sanamu ya; sawidi, chora jaribio la awali.

draft

2 adj 1 -enye kufanya kazi ya kubeba. ~ animals n wanyama wavutao mizigo (k.m. punda). 2 -liotoka pipani. ~ beer n bia inayotolewa katika pipa.