dash

n 1 mvumburuko: mwendo wa kukurupuka; mfyatuko make a ~ for shelter (safety) kimbilia kivulini/ mahali pa salama. 2 mwatuko. 3 mshindo wa mawimbi yakatikapo. 4 (small quantity) kiasi kidogo (lakini muhimu). add a ~ of pepper ongeza kiasi kidogo cha pilipili. 5 (line) kistari, dashi. 6 (vigour) bidii; ujasiri; nguvu; wepesi; hima. cut a ~ onyesha uhodari/ufundi n.k. 7 the ~ n mbio fupi (hasa meta 100). 8 (W. Africa) rushwa, mlungura vt 1 (throw violently) fyatua/tupa/gea kwa nguvu. 2 (destroy) haribu ~ a person's hopes vunja matumaini ya fulani. 3 tia kwa haraka; fanya kwa haraka. ~ along pita mbio. ~ away toweka haraka, kurupuka. 4 (usu a/the ~ of) (sound of waves) pigapiga; rukaruka. dashing adj 1 changamfu, -enye uhai. 2 mtanashati. cut a ~ing vutia sana. dashed adj 1 -liovunjika moyo. 2 see damned. dash-board n 1 kinga matope/maji/upepo/theluji/ n.k.; kioo (cha mbele). 2 dashibodi: ubao/paneli ya gari inayoshikilia mita na vipimo vingine.