cord

n 1 kamba; mshipi; ugwe. 2 kiungo cha mwili kilicho kama mshipi. the vocal ~s n vitunga mlio, nyuzi sauti. umbilical ~ n kiungamwana/rulela. spinal ~ n uti wa mgongo. 3 (elec) waya, uzi. 4 see corduroy (pl). vt funga kamba. cordage n 1 kamba. 2 kamba zitumiwazo melini.