cordon

n kizuizi cha askari. a sanitary ~ n kizuizi cha askari cha karantini. corduroy n 1 kodrai. 2 (pl) (also cords) suruali za kodrai. ~ road n njia ya miti (kupita matope n.k.).