adj 1 -a kuchekesha, -chekeshaji; -a mzaha. 2 -a futuhi n 1 chale (katika sanaa za maonyesho/ muziki). 2 ~ bookn gazeti lenye hadithi za katuni.comicaladj -a kuchekesha; -a kimzaha. comicallyadv. comingadjseecome -a kuja; -naokuja; baadaye. n 1 majilio the Second Coming Majilio ya Pili ya Yesu Kristo.