bound

bound

1 vi ruka; kimbia kwa kurukaruka his heart ~ed with joy moyo wake ulinang'anika kwa furaha. n kuruka mbele; mruko. by leaps and ~s kwa mbio sana, upesi sana. at a ~ kwa mruko mmoja.

bound

2 n (usu pl) 1 (limit) mpaka; mipaka, kiasi it is beyond ~s of my powers ni nje ya mipaka ya uwezo wangu beyond all ~s pita kiasi. 2 upeo, kikomo, mwisho. out of ~s marufuku kuingia; -liokatazwa kuingia. vt 1 pakana na. 2 (surround) zunguka, -wa pande zote it is ~ed by imezungukwa na; imepakana na; boundless adj.

bound

3 adj (for) tayari kuanza/kuelekea/kwenda the ship is ~ for Bombay meli inakwenda/inaelekea Bombay be ~ for enda/elekea outward ~ kwenda nje.

bound

4 v see bind 1 lazimika I am ~ to go sina budi kwenda. be ~ up in shughulika sana (na). ~ up -wa na shughuli nyingi. ~ up with fungamana na. boundary n mpaka.