bind

vi,vt 1 (up) funga. 2 (of books) jalidi. 3 gandisha,unganisha. 4 (constipate) funga choo. 5 (over) tia sharti, shurutisha, pasisha. ~ oneself to do something ahidi kufanya. 6 (on) (old sl) lalamalalama. 7 (gram) ambatisha, funga. binder n 1 mjalidi; mashine ya kujalidi. 2 jalada jepesi la kuwekea magazeti. 3 dutu ya kugandishia (k.m.lami). bindery n kitengo cha ujalidi. binding adj -a lazima kutiiwa/kufuatwa a ~ing agreement makubaliano ya kubana n jalada.