1 (seegood) adj 1 bora, zuri (zaidi); aula, -a kufaa zaidi. ~ than one's word bora kuliko matarajio. do (something) against one's ~ judgement fanya jambo shingo upande. no ~than ni hayo hayo. the ~ part of sehemu bora/kubwa zaidi. see ~ days -wana maisha bora zaidi. one's ~ feelings utu bora, idili. his ~ half(colloq) mkewe. 2 ahueni, afadhali, nafuu. be ~ off without -wa na furaha zaidi bila ya know ~ -wa mweledi zaidi; kataa jambo (kwa kujua kwamba halina ukweli). but I know ~ lakini najua sana (kuwa si kweli). think (all) the ~ of somebody enzi sana, heshimu sana. think ~ of something ghairi, fikiri tena (dhidi). had ~ (ni) bora/vyema.
better
2none's ~s wakubwa wetu, watu wenye busara. get the ~ of somebody or something shinda, fanikiwa. for ~ (or) for worse kwa mema na mabaya, kwa vyovyote vile.
better
3vt 1 fanya vyema zaidi strivingto be ~ of kujitahidi kupata kilicho bora. 2 shinda. ~ oneself jiendeleza (kiuchumi, kielimu, kicheo) zaidi. bettermentn maendeleo, hali bora.