arrange
vt,vi 1 (put in order) panga, weka kwa utaratibu, safidi. 2 (organize) panga (kwa baadaye) ~ a date for a meeting panga tarehe ya mkutano. 3 tayarisha ~ a meeting tayarisha mkutano. 4 (with/for) afikiana, kubaliana. 5 suluhisha, patanisha. arrangement n 1 mpango, utaratibu. 2 (pl) arrangements n matayarisho, mipango I made ~ments to send books nilifanya mipango ya kupeleka vitabu. 3 (music) see adaptation.