adapt

vt rekebisha, badili, tengeneza, tohoa (ili kufaa matumizi fulani) ~ ed from iliyotengenezwa kutokana na; iliyotoholewa the play has been ~ed from English mchezo umetoholewa kutoka Kiingereza. adaptability n. adaptation n 1 mabadiliko, marekebisho. 2 utohozi. adaptable adj 1 -enye kurekebishika. 2 epesi kubadilika (kufuatana na mazingira). adapter n adapta; kirekebishi.