zingia
zingi.a
1 kt [sie] fade, lose colour, be faint; look unwell, be pale: Labda Juma ana shida kwani uso wake ume ~ may be Juma is in trouble as his face looks pale; Shati langu jekundu lime ~ my red shirt has faded. (tde) zingilia; (tdk) zingika; (tds) zingisha.zingi.a
2 kt [ele] round up, enclose, surround. (tde) zingilia; (tdk) zingika; (tdn) zingiana; (tds) zingisha; (tdw) zingiwa.