wastani *

wastani

1 nm [u-/zi-] average, mean: Kwa ~ thamani ya nyumba hii ni shilingi milioni mbili the value of this house is approximately two million shillings. (Kar)

wastani

2 nm [u-] origin: Mji huu ndiyo ~ wetu this is our home town. (Kar)