vunga

vunga

1 nm ma- [li-/ya-] thick crop of hair: Mtoto huyu anapenda sana kuweka ~ this child likes to keep a thick crop of hair.

vung.a

2 kt [ele] deceive, lie, cheat. (tde) vungia; (tdk) vungika; (tdn) vungana; (tds) vungisha; (tdw) vungwa.

vung.a

3 kt [ele] tie. (tde) vungia; (tdk) vungika; (tds) vungisha; (tdw) vungwa.