nyamazisha

kt [ele] silence sb: Ni vigumu kum~ mtoto anayelia kwa njaa it is difficult to silence a hungry baby. (tde) nyamazishia; (tdk) nyamazishika; (tdn) nyamazishana; (tdw) nyamazishwa.