nururisha *

kt [ele] radiate; lighten: Aliki~ chumba kizima kwa mwanga wa kandili yake he lightened the whole room with the light of his lantern. (tde) nururishia; (tdk) nururishika; (tdn) nururishana; (tdw) nururishwa. (Kar)