mtu

nm wa- [a-/wa-] person, human being, individual. (ms) wa miraba minne giant; (hasa kijana wa kike) brunette; mbaya/mnyonge caitiff; asiye na adabu/mtu wa hasira churl; mwenye hasira cross-patch; anayejikomba flunkey/flunky; kitu chenye mkosi jinx; asiyetaka kufanya kazi lay about; maskini mwenye ugonjwa lazar.