mtawala

nm wa- [a-/wa-] ruler, administrator: ~ mwenye madaraka yote despot; ~ wa kinasaba dynast; ~ mkuu lord. mtawalia kl continuously.