mlio1 nm mi- [u-/i-] 1 cry, shout. 2 clink, bang sound: ~ wa punda bray/heehaw; ~ wa shangwe hurrah; ~ wa sarafu/njuga/funguo jingle.