mkuu

nm wa- [a-/wa-] important person, head, incharge, top man: ~ wa shule. Headmaster/mistres; ~ wa Wilaya District Commissioner; ~ wa chuo Principal; ~ wa serikali katika Shirikisho la Ujerumani Chancellor; ~ wa chuo kikuu Chancellor.