mkabala *
nm [u-] opposite, in front of: Nyumba inayofuata iko ~ na jengo la benki the next building is opposite the bank. 2 encounter. 3 relationship: Juma hana ~ mzuri na jirani zake Juma has no good relationship with his neighbours. 4 approach, methodology. (Kar)