mchezo

nm mi- u-/i- play, game, match: wa mpira footbal match; wa kamari craps; wa kuchekesha sana farce; mwanzo wa wa sataranji gambit; wa Ireland hurling; wa Wajapani judo, jujitsu; ~ wa kunyiririka gliding.