lugha
nm [i-/zi-] language; speech: ~ ya kompyuta computer language; ~ ya kale dead language; ~ ya kitaalamu professional language; ~ ya kifundi technical language; ~ chafu/kali strong/bad language; ~ ya biashara lingua franca; ~ ya bubu/kipofu sign-language; ~ ya mitaani slang; ~ ya wenyeji vernacular; ~ ya kwanza/asili mother tongue .