kipeo2nm vi- [ki-/vi-] power, exponent: Mbili ~ cha nne two to the power of four; ~ cha pili squared; ~ cha tatu cubed.