kama
kama
1 ku1 like: Mrefu ~ wewe tall like you. 2 if, whether: Watakuja ~ uliwaalika They will come if you invited them; Sijui ~ watawahi I do not know whether they will come on time. 3 as: Tutatekeleza ~ tulivyopanga we shall implement as we planned. 4 about: Itawagharimu ~ shilingi elfu kumi it will cost them about ten thousand shillings. (ms) ~ kwamba as if, as though; ~ vile just as.kam.a
2 kt [ele] 1 squeeze out, (ng'ombe) milk: ~ ng'ombe milk a cow. 2 wring (out): ~ nguo wring the clothes (out); ~ mikono wring somebody's hands. (tde) kamia; (tdk) kamika; (tdn) kamana; (tds) kamisha; (tdw) kamwa.