kacha
kach.a
1 kt [sie] 1 be adamant. 2 abscond, evade: Mtoto ame ~ kwenda shule the child absconded from school. 3 condense, coagulates, thicken: Samli hii ikipikiwa chakula hu~ when this fat is used in cooking food it coagulates. 3 be numb: Mkono wangu ume~ my arm is numb. (tde) kachia.; (tdk)kachika; (tdn) kachana; (tds) kachisha; (tdw) kachwa.kacha
!2 ki word expressing the sound of sth light falling down.