hifadhi *

hifadh.i

1 kt [ele] 1 protect, preserve, husband; file: ~ kwenye kompyuta computerize, conserve. 2 remember, commit to memory. (tde) hifadhia, (tden) hifadhiana, (tdew) hifadhiwa; (tdk) hifadhika. (Kar)

hifadhi

2 nm [i-/zi-] 1 protected area; conservancy, sanctuary. 2 protection, observation: ~ za nyaraka archives; Weka chini ya ~ protect; ~ ya mazingira environmental conservation; ~ ya taifa national park. (Kar)