halisi

halis.i

1 kt [ele] 1 be good for the price: Ubora wa redio hii hau~ shilingi elfu ishirini the quality of this radio is not worth price of Tsh. 20,000. 2 be suitable, be fit: Hai~ wewe kucheza sasa it is not suitable for you to play now. (tde) halisia, (tden) halisiana, (tdew) halisiwa; (tdk) halisika; (tds) halisisha. (Kar)

halisi

2 kv real genuine, unalloyed, true, precise, actual, particular, authentic, literal, positive. (Kar)