cheza

kt [ele/sie] 1 play. ~ mpira play football; ~ na mtoto play with a child. 2 dally with sth, waste time: Acha ku~ na wakati stop wasting your time. 3 dance (to the tune of drums, music etc). 4 shiver (because of fever, illness): Mwili wote unam~ the whole body is shivering. 5 be loose, waver, totter: Kitasa kina~ the door-lock is loose. 6 (askari) drill, be drilled: ~ kwata drill. 7 mock sb, make fun of: Usi~e na kisu don't play with a knife. 8 bewitch. (nh) (1) ~ bangu fight, cause war; (2) ~ kamari gamble. (tde) chezea, (tden) chezeana; (tdk) chezeka; (tds) chezesha; (tdw) chezwa. mchezo nm. mchezaji nm.