chamba

chamb.a

1 kt [ele/sie] wash oneself after calls of nature. (mt) Ku~ kwingi ni kuondoka na mavi when you overdo an action you risk making a mess of it. (tde) chambia; (tdk) chambika; (tds) chambisha; (tdw) chambwa.

chamb.a

2 kt [ele] use obscene language; use abusive language. (tde) chambia; (tdk) chambika; (tdn) chambana; (tds) chambisha; (tdw) chambwa.