bahari *

nm [i-/zi-] 1 ocean, sea. 2 (ushairi) the deep: B~ ya Hindi Indian Ocean; B~ ya Sham Red Sea. 3 (fig) vast and extensive: Elimu ni ~ knowledge is vast; Usawa wa ~ sea level; ~ inakupwa the sea is ebbing. (Kar)