anza

kt [ele] start, begin, initiate, launch, commence: ~ kuimba start singing; ~ na begin with. (tde) anzia; (tdk) anzika; (tdn) anzana; (tds) anzisha; (tdw) anzwa. mwanzo nm. mwanzilishi nm.