angamia

kt [sie] sink; be destroyed, perish: Watu wali~ baharini people perished in the sea. (tde) angamilia; (tdk) angamika; (tds) angamiza.