alika
alik.a
1 kt [sie] explode. (tde) alikia, (tden) alikiana; (tdk) alikika; (tds) alikisha; (tdw) alikwa.alik.a
2 kt [ele] 1 invite, bid: Wageni walio~wa the invited guests. 2 advertise. (tde) alikia; (tdk) alikika; (tdn) alikana; (tds) alikisha; (tdw) alikwa. mwaliko nm. mwalishi nm.alik.a
3 kt [ele] 1 seclude sb: ~ mwari keep a maiden in seclusion; ~ msichana au mvulana seclude a girl or boy especially during initiation period. nm a young man/woman who has undergone initiation rites. (tde) alikia; (tdn) alikana; (tdk) alikika; (tds) alikisha; (tdw) alikwa.alika
4 nm [a-/wa-]youngman /woman who has undergone initiation rites.