alhasili *

ki in short: Harusi ile ilikuwa na vyakula na vinywaji vingi, muziki, madansa, wapiga tarumbeta n.k. ~ kulikuwa na raha tupu the wedding had a lot of food and drinks, music, dancers, trumpeters etc. in short it was utter comfort. (Kar)